Saturday, August 25, 2012

Ziilizonifutia Siku Ya leo Katika Pita pita Zangu

Chupi
Chupi
Sidiria
Chupi
Chupi
Chupi
Chupi na Sidiria ni sehemu ya maisha yetu ya kila siku, Hivyo leo nimewaletea mitindo mbali mbali ya chupi na sidiria kama tunavyooiona hapo juu, pia wengi wetu tunaelewa faida na umuhimu wa chupi na sdiria katika maungo yetu, chupi na sidiria  hukuelezea wewe ni mtu wa aina gani,  na mara nyingine pia hukuongezea mvuto pindi unapokuwa faraghani au hata ufukweni, japokuwa muda mwingine huweza kukutambulisha kwa watu kama wewe msafi au mchafu.

Kuna aina mbali mbali za chupi na sidiria hapa dunianai lakini pia yabidi tutambua jinsi ya uvaaji wa aina hizo za chupi na sidiria , kila chupi  na sidiria ina pahala pake na muda wakena mara nyingine chupi/sidiria hutegemea na aina ya nguo/mavazi husika au mahali na hali ya hewa husika


No comments:

Post a Comment