![]() |
| Da Mwana wa kwanza kulia akifanya vitu vyake |
![]() |
| Chezea Kibao kata wewe, Da Husna wa kwanza kushoto akipiga rika |
![]() |
| Kassim Romba wa kwanza kushoto akifanya vitu vyake |
![]() |
| Hemed Kibao akifanya vitu vyake |
Haya sasa wale wapenzi wa Gy Teretha Official Blog leo nawaletea ngoma ya kibao kata uwanjani, Kwa shughuri yoyote ile, iwe Kitchen party, Singo, Birthday au Matunzano na nyenginezo.
Wasiliananao kwa simu namba +255 654 400 030




No comments:
Post a Comment