RAIS KIKWETE AONGOZA MAFUNZO MAFUNZO YA WAKUU WA MIKOA NA WILAYA MJINI DODOMA.
Raisi
Jakaya Kikwete, Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Waziri wa Tamisemi Hawa
Ghasia wakiongoza Mafunzo ya Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa
na Wakuu wa Wilaya yanayofanyika Mkoani Dodoma.
No comments:
Post a Comment