Monday, August 20, 2012

Miss China Avaa Taji La Miss World 2012

Miss World 2012 Yu Wenxia

Miss World 2012 Yu Wenxia Akifurahia Ushindi Huo Sambamba Na Mshindi Wa Pili Na Wa Tatu


Miss World 2012 Ivian Lunasol Miss World 2011, Ivian Lunasol. Akimvisha Taji Miss World 2012 Yu Wenxia Kutoka China
Runner-up Miss Australi Kulia Akitabasamu Mara Baada Ya Kuvishwa Taji Na Miss World 2011

Miss World Runner-up Winner Wa Pili Kushoto Akipongezwa Na Wenzake
Miss China Mara Baada Ya Kutangazwa Kwa Ndie Miss World 2012

Washiriki Wakipita Jukwaani  Na Vazi La Jioni
Usiku Wa Jumamosi Katika Uwanja Wa Dongsheng Fitness Center Ulio Katika Jiji La Ordos Nchini China Mrembo Yu Wenxia Kutoka Jamuhuri Ya Watu Wa China Aliibuka Mshindi Katika Mashindano Ya Kumtafuta Mrembo Wa Dunia, Akifuatiwa  Na Miss Wales Sophie Moulds Elizabeth Ambae Ni Mshindi Wa Pili Wakati Miss Austaria Jessica Michelle Kahawaty Aliibuka Mshindi Wa Tatu.
Mbali Na Hao Washiriki Wengine Pia Walipata Kuibuka Na Mataji Mbalimbali

Hii Hapa Chini Ndio Orodha Ya Warembo Walioshinda Mataji Hayo

Miss World 2012 Beauty with a Purpose - Vanya Mishra, India

Miss World 2012 Talent -Wenxia Yu, China


Miss World 2012 Sportswoman - Sanna Jinnedal, Sweden

Miss World 2012 Multimedia - Vanya Mishra, India

Miss World 2012 Beach Fashion - Sophie Moulds, Wales

Miss World 2012 Top Model - Atong Demach, South Sudan






No comments:

Post a Comment